Skip to main content

Fikiri kwa makini · Tatua tatizo · Rudia

Start Point Academy mwanao atajenga ujuzi wa maisha, kwa mikono yake mwenyewe.

Academy ya kompyuta, Internet na AI kwa watoto wa shule ya msingi, inayofanyika wikiendi na likizo sambamba na shule. Wanajenga michezo, programu na mifumo halisi huku wakikuza tabia ya kuona na kutatua matatizo.

Nafasi ni chache
Start Point Academy placeholder student image
Usajili unaendelea sasa

Mtoto wako atajifunza:

Kutatua matatizo

Kufikiria kwa kimantiki

Kuprogram kompyuta

Kushirikiana na wengine

Kujenga miradi

MAELEZO YA PROGRAM

  • USAJILI: Unaendelea
  • MUDA: 9:00am - 11:00am
  • WASHIRIKI: Watoto Shule ya Msingi
  • MAHALI: Goba Mpakani
  • ADA: Tsh 100,000 / mwezi

Faida kwa mtoto wako:

  • Kujiamini zaidi
  • Kutumia muda wake kwa tija
  • Kuwa mbunifu na mchambuzi
  • Msingi imara kwa taaluma za baadaye
  • Kuona teknolojia kama fursa, si burudani tu
Punguzo 20% Watoto 16 wa kwanza